Ufahamu huhusisha ufanyaji wa maamuzi, upangaji mipango, na ubunifu. Huathiri uwezo wetu wa kukabiliana na hali na kustawi katika ulimwengu huu. Mzazi mwenye shughuli nyingi […]
Blogu
Kazi Zetu za Kila Siku hutegemea Ufahamu
Ufahamu huathiri utendakazi wako wa msingi kama vile kumbukumbu, umakini, na mwingiliano wa kila siku ulimwenguni. Kuelewa jinsi ufahamu wako unavyofanya kazi kunaweza kukusaidia kuulinda […]
Uhusiano kati ya Afya yetu ya Akili na ya Kimwili
Uhusiano wetu wa akili na mwili hufunua mwingiliano kati ya afya ya akili na ya kimwili. Kujitunza kikamilifu kunaweza kuboresha hali njema kwa kiasi kikubwa. […]
Utimizaji wa Malengo na Ndoto zetu Hutegemea Msukumo wa Ndani na Motisha yetu
Msukumo wa ndani na motisha huamua uwezo wetu wa kufikia malengo. Kusimamia matatizo yaliyopo na kufanya mambo kwa kuzingatia mapendeleo yetu ya msingi kunaweza kusaidia. […]
Alama Hasi ya MHQ ni Ishara Inayokutaka Kutafuta Usaidizi wa Kimatibabu
Alama hasi ya MHQ huashiria hali mbaya ya afya ya akili. Haya ndio mambo ya kufahamu na jinsi ya kupata usaidizi. Alama hasi kwenye MHQ […]
Taswira Binafsi Kijamii ni nini?
Huu ni mtazamo wa taswira yako binafsi kijamii, maana yake, na kwa nini huwa na athari katika maisha yako. Hebu itafakari siku ya kawaida. Unaweza […]
Uelewa wa Hisia na Mtazamo wa Kifikra
Jinsi tunavyoshughulikia hisia na vikwazo huathiri ustawi na mtazamo wetu wa maisha kiujumla. Sote tumekutana au kushuhudia watu ambao kamwe hawaonekani kuvunjika moyo. Haijalishi ni […]