Alama yako ya Ustawi wa Akili ni ipi?
Chukua kipimo cha MHQ kufahamu.
Ni cha siri na huchukua dakika 15 au chini ya hapo.
Badilisha Lugha
Lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi ili kuchukua tathmini hii. Hatukusanyi taarifa yoyote nyeti iwezayo kumtambulisha mshiriki. Unaweza kusoma sera yetu ya faragha hapa. Jibu lako litakuwa sehemu ya Mradi wa Akili Kimataifa, na hivyo kutoa taswira juu ya ustawi wa akili wa idadi ya watu duniani.
ALAMA NA RIPOTI YAKO YA MHQ
Alama ya Jumla ya MHQ
MHQ itakupatia kiautomatiki alama ya jumla ya afya ya akili utakapokamilisha kujibu maswali yote. Unaweza pia kuomba kupatiwa ripoti ya hiari iliyo na unyumbuisho wa alama katika vipimo sita vya afya ya akili pamoja na maelezo na mapendekezo, kwa kutoa barua pepe yako.
Alama katika vipimo 6 vya afya ya akili
Alama yako ya MHQ
Carousel title
Ufahamu Huakisi Uwezo wetu wa Kukabiliana na Hali Ngumu
Ufahamu huhusisha ufanyaji wa maamuzi, upangaji mipango, na ubunifu. Huathiri uwezo wetu wa...
Kazi Zetu za Kila Siku hutegemea Ufahamu
Ufahamu huathiri utendakazi wako wa msingi kama vile kumbukumbu, umakini, na mwingiliano wa kila...
Uhusiano kati ya Afya yetu ya Akili na ya Kimwili
Uhusiano wetu wa akili na mwili hufunua mwingiliano kati ya afya ya akili na ya kimwili. Kujitunza...
Utimizaji wa Malengo na Ndoto zetu Hutegemea Msukumo wa Ndani na Motisha yetu
Msukumo wa ndani na motisha huamua uwezo wetu wa kufikia malengo. Kusimamia matatizo yaliyopo na...
Alama Hasi ya MHQ ni Ishara Inayokutaka Kutafuta Usaidizi wa Kimatibabu
Alama hasi ya MHQ huashiria hali mbaya ya afya ya akili. Haya ndio mambo ya kufahamu na jinsi ya...
Taswira Binafsi Kijamii ni nini?
Huu ni mtazamo wa taswira yako binafsi kijamii, maana yake, na kwa nini huwa na athari katika...
Uelewa wa Hisia na Mtazamo wa Kifikra
Jinsi tunavyoshughulikia hisia na vikwazo huathiri ustawi na mtazamo wetu wa maisha kiujumla. Sote...